starlink-africa-tanzania

Internet ya Starlink Tanzania | Satellite Internet kwa Biashara & NGOs | SpaceX Africa
🌍 SpaceX Africa Approved Starlink Sellers in Africa and Beyond • Huduma kwa wateja • Uthibitishaji wa akaunti • Ufungaji wa Starlink • WhatsApp: +254 795 975055 • Email: info@spacexafrica.co.ke • Sisi ni Accredited Starlink Installers Dar es Salaam • Arusha • Mwanza • Dodoma • Mbeya • Morogoro • Zanzibar na maeneo yote ya Tanzania

Internet ya Starlink Tanzania

Tunatoa huduma ya internet ya satelaiti (Starlink) kwa kampuni, NGOs, shule, taasisi na maeneo ya mbali Tanzania. Huduma hii inatumia roaming configuration hivyo internet inafanya kazi hata sehemu ambazo hazina fiber au 4G.

Pata Starlink Tanzania
✔ Accredited Starlink Distributor Across Africa
Starlink Mini Tanzania
Starlink Gen 3 Tanzania
Starlink High Performance Tanzania

Maeneo Tunayohudumia

📍 Dar es Salaam

Internet ya biashara na kampuni.

📍 Arusha

Huduma ya satellite internet yenye kasi.

📍 Mwanza

Internet kwa taasisi na mashirika.

📍 Dodoma

Ufungaji wa Starlink kwa maeneo ya mbali.

📍 Mbeya

Internet ya uhakika kwa biashara.

📍 Morogoro

Huduma ya roaming na connectivity.

Huduma Zetu

🌍 NGOs & Mashirika

Internet kwa humanitarian na field operations.

🏢 Makampuni & Biashara

Reliable internet kwa offices na biashara.

🎓 Shule & Taasisi

Internet ya kujifunza na mifumo ya kisasa.

⛏️ Migodi & Maeneo ya Mbali

Connectivity kwa maeneo yasiyo na fiber.

Starlink Tanzania ni suluhisho la internet ya kasi kupitia satellite kwa biashara, NGOs na taasisi zinazohitaji mawasiliano ya uhakika. SpaceX Africa hutoa huduma ya usambazaji, activation na ufungaji wa Starlink katika Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya na maeneo mengine kote Tanzania.


Kwa kutumia roaming configuration, tunawezesha upatikanaji wa internet hata katika maeneo ya vijijini au sehemu zisizo na miundombinu ya kawaida ya mawasiliano. Huduma hii inafaa kwa mashirika ya misaada, migodi, miradi ya maendeleo, shule na kampuni zinazofanya kazi maeneo ya mbali.

Unahitaji Starlink Tanzania?

Wasiliana na SpaceX Africa kwa huduma ya kitaalamu ya Starlink deployment, activation na enterprise connectivity Tanzania nzima.

Ongea Nasi
Scroll to Top