Internet ya Starlink Tanzania
Tunatoa huduma ya internet ya satelaiti (Starlink) kwa kampuni, NGOs, na taasisi mbalimbali Tanzania. Huduma hii inatumia roaming configuration, hivyo inafanya kazi hata maeneo ambayo hayajafikiwa na fiber au 4G. Inafaa kwa biashara, mashirika ya misaada, migodi, shule, na maeneo ya mbali.
Pata Starlink Tanzania
Maeneo Tunayohudumia
Huduma Zetu
Starlink Tanzania ni suluhisho la internet ya kasi kupitia satellite kwa biashara, NGOs na taasisi zinazohitaji mawasiliano ya uhakika. Spacex Africa hutoa huduma ya usambazaji na ufungaji wa Starlink katika Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya na maeneo mengine kote Tanzania.
Kwa kutumia roaming configuration, tunawezesha upatikanaji wa internet hata katika maeneo ya vijijini au sehemu zisizo na miundombinu ya kawaida ya mawasiliano. Hii ni muhimu kwa mashirika ya misaada, miradi ya maendeleo, na kampuni zinazofanya kazi maeneo ya mbali.