spacex-africa-tanzania

Internet ya Starlink Tanzania | Satellite Internet kwa Biashara & NGOs | Spacex Africa

Internet ya Starlink Tanzania

Tunatoa huduma ya internet ya satelaiti (Starlink) kwa kampuni, NGOs, na taasisi mbalimbali Tanzania. Huduma hii inatumia roaming configuration, hivyo inafanya kazi hata maeneo ambayo hayajafikiwa na fiber au 4G. Inafaa kwa biashara, mashirika ya misaada, migodi, shule, na maeneo ya mbali.

Pata Starlink Tanzania
✔ Accredited Starlink Distributor Across Africa
Starlink Mini Tanzania
Starlink Gen 3 Tanzania
Starlink High Performance Tanzania

Maeneo Tunayohudumia

Dar es Salaam
Arusha
Mwanza
Dodoma
Mbeya
Morogoro

Huduma Zetu

NGOs & Mashirika
Makampuni & Biashara
Shule & Taasisi
Maeneo ya Mbali & Migodi

Starlink Tanzania ni suluhisho la internet ya kasi kupitia satellite kwa biashara, NGOs na taasisi zinazohitaji mawasiliano ya uhakika. Spacex Africa hutoa huduma ya usambazaji na ufungaji wa Starlink katika Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya na maeneo mengine kote Tanzania.

Kwa kutumia roaming configuration, tunawezesha upatikanaji wa internet hata katika maeneo ya vijijini au sehemu zisizo na miundombinu ya kawaida ya mawasiliano. Hii ni muhimu kwa mashirika ya misaada, miradi ya maendeleo, na kampuni zinazofanya kazi maeneo ya mbali.

Scroll to Top